MARKAZ IBN QAYYIM LIL HALAQAAT ILMIYYAH - NUNGWI ZANZANBAR -. 

Inawatangazia waislamu wote wa Nungwi na vijiji jirani kuwa inaendelea kupokea wanafunzi kwa mwaka wa masomo 1445 / 1446 SAWA NA 2024 / 2025.

Markaz inatoa masomo kwa Day 

Wanaume wanaingia baada ya swala ya Magharib hadi swala ya Isha. Kwa siku zote za wiki

Wanawake wanaingia sa 2:40 asubuhi hadi sa 6:30 mchana. Alkhamis na Ijumaa ni siku za mapumziko kwa wanawake. 

Markaz haina ukomo wa umri kwa mwanafunzi. 

Markaz pia inapokea wanafunzo ambao hawajawahi kusoma hapo awali. 

Markaz pia inapokea wale waliosilimu. 

TUPO NUNGWI, MTAA WA MABATINI, ZANZANBAR 

2 comments:

 MARKAZ IBN QAYYIM LIL HALAQAAT ILMIYYAH - NUNGWI ZANZANBAR -.  Inawatangazia waislamu wote wa Nungwi na vijiji jirani kuwa inaendelea kupok...